1. Haloo jisajiri au sign in kwenye forum hii dakika 1 tu ufaidike na mengi Bonyeza hapa Utaweza kuandika mada yako na itajadiliwa
  Dismiss Notice
Dismiss Notice
Unataka kutangaza kwenye blog maarufu zaidi ya 600 Wasiliana nasi whatsapp 0652428852 Utalipia sh. 666 kwa siku

Hebu ona maisha yalivyovyo yofauti na unavyofikiri

Discussion in 'Vunja mbavu' started by Rocho Senior, Aug 6, 2017.

Tags: Add Tags
Millionaire  Ads
 1. Rocho Senior

  Rocho Senior New Member

  Joined:
  Jul 30, 2017
  Messages:
  19
  Likes Received:
  0
  Trophy Points:
  1
  Gender:
  Male
  Occupation:
  Blogger
  Location:
  Dodoma
  Home Page:
  MAISHA NA MAAJABU YAKE

  Usishangae

  Mmiliki wa kampuni ya Tecno anatumia iPhone

  Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

  Meneja wa kiwanda cha soda anakunywa bia

  Aliyegundua pesa alikufa na madeni

  Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza hips lakini wao wako bapa

  Mpenzi wako Mpya ni mpenzi wa zamani wa mwengine

  Aliyegundua simu (Alexander Bell) mke wake na mama yake walikua viziwi? Jiulize aligundua ili kumpigia nani?

  Kuna watu wameajiriwa ili kufundisha watu wengine namna ya kujiajiri

  Baba Mlevi hapendi Mwanawe anywe Pombe!
   

Share This Page

Millionaire  Ads
Millionaire  Ads