1. Haloo jisajiri au sign in kwenye forum hii dakika 1 tu ufaidike na mengi Bonyeza hapa Utaweza kuandika mada yako na itajadiliwa
  Dismiss Notice
Dismiss Notice
Unataka kutangaza kwenye blog maarufu zaidi ya 600 Wasiliana nasi whatsapp 0652428852 Utalipia sh. 666 kwa siku

Kilimo cha kitunguu ni mkombozi wa ajira kwa vijana

Discussion in 'Makala Bora' started by Rocho Senior, Sep 4, 2017.

Tags: Add Tags
Millionaire  Ads
 1. Rocho Senior

  Rocho Senior New Member

  Joined:
  Jul 30, 2017
  Messages:
  19
  Likes Received:
  0
  Trophy Points:
  1
  Gender:
  Male
  Occupation:
  Blogger
  Location:
  Dodoma
  Home Page:
  garlic-row-5-4-05-L.jpg
  Kama ulivyo msemo wa kilimo ni uti wa mgongo.Sio kufanya fanya bali kwa sasa ukifanya kilimo kwa kufata taratibu za kitaalamu(KILIMO BIASHARA) kitakuingizia pesa sana.
  Vijana wengi wamekuwa wakilalamika mtaani kwa kukosa ajira lakini ule msemo wa KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI umekuwa ni mkombozi mpya kwa vijana wa leo wanaojielewa.


  VITU VYA KUZINGATIA
  1.kitunguu hulimwa kwenye udongo wa tifutifu au kichanga.
  2.Hakikisha unalima pembezoni mwa chanzo cha maji kwani huhitaji maji mengi kwenye hatua za mwanzo za ukuaji.
  3.Kuandaa shamba kisha vitalu kwa ajili ya kupanda.

  HATUA ZA KUPANDA
  1>Andaa kitalu mwaga mbegu kisha weka majani makavu juu yake(mulching) kuzuia maji yasipotee kwa haraka,mbegu zisiungue angali ndogo pia zispeperuke.Mwagia maji kila siku kwa kiasi kwa siku 7 hadi 10
  IMG_20170904_211815.JPG
  2>Andaa vitalu tayari kwa kupanda kitunguu hakikisha tuta linakuwa limelowana/lina unyevu kabla ya kupanda.
  IMG_20170904_212138.JPG

  3>Mwaga maji mengi kisha acha hadi unyevu ukauke kabisa.Huchukua siku 3 hadi 5 kulingana na udongo na hali ya hewa.
  IMG_20170904_211926.JPG

  Kitunguu huchukua siku 90 hadi 150 kulingana na ubora wa mbegu.
  img_4191.jpg
  Ni zao mojawapo linalohitajika kila siku kwa matumizi ya chakula.
  Halina magonjwa mengi ukilinganisha na mazao mengine.
  Changamkia fursa kijana nguvu unazo na uwezo unao
  56915.jpg
   

  Attached Files:

Share This Page

Millionaire  Ads
Millionaire  Ads